Nenda kwa yaliyomo

Chelan Simmons

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chelan Lauren Simmons (amezaliwa 29 Oktoba, 1982) ni mwigizaji na mwanamitindo wa zamani wa kitaalamu wa Kanada >[1]. Anajulikana kwa nafasi yake kama Ashley Freund katika Final Destination 3 (2006), Helen Shyres katika Carrie (2002 film) (2002), Good Luck Chuck (2007), na Tucker & Dale vs. (2010).

  1. ↑ ":)". twitpic.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-09-30.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chelan Simmons kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.