Cheikha Rimitti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cheikha Remitti

Cheikha Rimitti ( Kiarabu سعدية الغيزانية Saadia El Ghizania , 8 Mei, 1923 – 15 Mei, 2006 [1] ) alikuwa mwimbaji maarufu wa kike wa nhini Algeria.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Cheikha Rimitti alizaliwa huko Tessala, kijiji kidogo magharibi mwa Algeria mnamo 1923, na akaitwa Saadia, kumaanisha furaha . Jina hili halikulingana na uhalisia wa maisha yake ya utotoni, hata hivyo, kwa vile alikuwa yatima tangu akiwa mtoto kutokana na ukatili wa wafaransa na alianza kuishi maisha magumu, akipata faranga chache kufanya kazi mashambani na sehemu nyingine za kazi za mikono. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Obituary: Cheikha Rimitti". the Guardian (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-25. 
  2. Pareles, Jon. "Cheikha Rimitti, 83, Rebel of Algerian Music, Is Dead", The New York Times, 2006-05-28. (en-US) 
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cheikha Rimitti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.