Nenda kwa yaliyomo

Cheikh N'Doye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cheikh Tidiane N'Doye (alizaliwa 29 Machi 1986) ni mchezaji wa soka wa Senegal ambaye anacheza kama kiungo kwa klabu ya Ufaransa ya Championnat National 2 AS Cannes Alifanya mechi 30 na kufunga mara mbili kwa timu ya taifa ya Senegal kati ya 2014 na 2019.

Kazi ya klabu

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa katika Rufisque, N'Doye alianza kazi yake na ASC Yakaar kabla ya kuhamia Ufaransa kucheza kwa SAS Épinal. Baada ya hapo, alicheza pia kwa US Créteil-Lusitanos na Angers SCO.

Alikuwa nahodha wa Angers katika msimu wa 2016–17 akiwapeleka kwenye Finali ya Kombe la Ufaransa 2007 ambayo walipoteza 1–0 dhidi ya Paris Saint-Germain.[1]

Mnamo 14 Julai, 2017, N'Doye alisaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Uingereza ya Birmingham City F.C., akiihama bila malipo.[2][3]

Kazi ya Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

N'Doye alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa kwa Senegal mnamo 2014. Alikuwa mshiriki wa kikosi cha watu 23 cha Senegal kwa ajili ya Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.[4][5]

  1. "PSG wins French Cup scraping 1–0 win against Angers". USA Today. Associated Press. 27 Mei 2017. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Cheikh N'Doye: Birmingham City sign Senegal international midfielder". BBC Sport. 14 Julai 2017. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Ipswich Town 1–0 Birmingham City". BBC Sport. 5 Agosti 2017. Iliwekwa mnamo 5 Agosti 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Fajah Barrie, Mohamed (27 Aprili 2019). "Cheikh N'Doye: Senegal midfielder big injury doubt for Nations Cup". BBC Sport. Iliwekwa mnamo 1 Agosti 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Senegal name AFCON squad, announce Nigeria friendly". ACL Sports. 31 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 1 Agosti 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cheikh N'Doye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.