Chechele (Stenostiridae)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Chechele
Chechele mkia-mweupe
Chechele mkia-mweupe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Sylvioidea (Ndege kama kucha)
Familia: Stenostiridae (Ndege walio na mnasaba na chechele)
Jenasi: Chelidorhynx Hodgson, 1844

Culicicapa Swinhoe, 1871
Elminia Bonaparte, 1854
Stenostira Cabanis & Bonaparte, 1850

Spishi: Angalia katiba.

Chechele ni ndege wa familia Monarchidae na Stenostiridae. Zamani wale wa Stenostiridae waliainishwa katika familia Muscicapidae (Culicicapa), Monarchidae (Elminia), Sylviidae (Stenostira) na Rhipiduridae (Chelidorhynx), lakini uchunguzi wa ADN umeonyesha kwamba wana mnasaba na kwa hivyo wamepewa familia yao.

Wana rangi ya buluu (Elminia), ya kijivu (Stenostira) au ya manjano (Chelidorhynx na Culicicapa). Wanatokea misituni au porini kwa vichaka katika Afrika na Asia (Culicicapa). Hula wadudu. Hulijenga tago lao kwa umbo wa kikombe katika panda ya matawi. Jike huyataga mayai 2.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za Asia[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]