Charly Boy
Mandhari
Charles Chukwuemeka Oputa (maarufu kama Charly Boy; amezaliwa 19 Juni 1950) ni mwimbaji-mtunzi wa nyimbo, mtangazaji wa televisheni, mwigizaji, na mtayarishaji kutoka Nigeria. [1]
Maisha Ya Awali
[hariri | hariri chanzo]Mwana wa pili wa aliyekuwa Jaji wa Mahakama ya Juu Chukwudifu Oputa, [2] ni mzaliwa wa Oguta katika familia ya Wakatoliki, na ni binamu wa mwanamuziki wa Uswidi Dr. Alban.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Chukudifu Oputa". Hallmarksoflabour.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Februari 2013. Iliwekwa mnamo 5 Januari 2012.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ My Body is My Altar
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charly Boy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |