Nenda kwa yaliyomo

Charly Alcaraz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carlos Jonas "Charly" Alcaraz Durán (alizaliwa tarehe 30 Novemba 2002) ni mchezaji wa soka wa kitaalamu kutoka Argentina anayekichezea klabu ya Everton katika Ligi Kuu ya Uingereza (Premier League), akicheza kama kiungo wa kushambulia (attacking midfielder).[1][2]

  1. "Carlos Alcaraz, de Racing al Southampton: el producto del predio Tita que le dio el último título y se convirtió en una transferencia histórica". Clarín (kwa Kihispania). 9 Januari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "El futuro está aquí". Racing Club – Sitio Oficial (kwa Kihispania). 27 Januari 2020. Iliwekwa mnamo 2 Juni 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charly Alcaraz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.