Charlottetown, Prince Edward Island

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Charlottetown, Prince Edward Island


Charlottetown
Nchi Kanada
Mkoa Prince Edward Island
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 32,174
Tovuti:  / www.city.charlottetown.pe.ca

Charlottetown ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Prince Edward Island. Ni mji mdogo sana. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 32,174 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 44.33 km².

Kuna uwanja wa ndege mdogo.

Charlottetown ni nyumbani kwa Chuo Kikuu cha Prince Edward Island.

Mji ulianzishwa na Wafaransa mwaka 1764.



Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Charlottetown, Prince Edward Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.