Charlotte von Mahlsdorf
Mandhari

Charlotte von Mahlsdorf (18 Machi 1928 – 30 Aprili 2002) alikuwa mbadili jinsia mashuhuri waUjerumani Mashariki na mwanzilishi wa Jumba la Makumbusho la Gründerzeit huko Mahlsdorf, Berlin. Baadaye alikuja kuwa alama ya jamii ya LGBT nchini Ujerumani kutokana na filamu ya maisha yake I Am My Own Woman mwaka 1992.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ich bin meine eigene Frau". cinema.de. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Eger, Henrik (12 Julai 2010). "Behind The Mask". The Jewish Daily Forward.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charlotte von Mahlsdorf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |