Charlotte Stanley, Countess of Derby
Mandhari
Charlotte Stanley, Countess of Derby (alizaliwa Charlotte de La Trémoille; Desemba 1599 – 31 Machi 1664) anajulikana kwa ulinzi wake thabiti wa Lathom House wakati wa Vita vya Kiraia vya Uingereza.
Maisha ya Awali
[hariri | hariri chanzo]Charlotte alizaliwa kwenye ngome ya Thouars, Poitou, Ufaransa, alikuwa binti wa mtu wa kifahari wa Kifaransa Claude de La Trémoille, Duke wa 2 wa Thouars, na mke wake, Countess Charlotte Brabantina wa Nassau. Wazazi wake walikuwa William I, Prince wa Orange na Charlotte de Bourbon.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "House of Commons Journal Volume 1: 04 February 1629 Page 926 Journal of the House of Commons: Volume 1, 1547-1629. Originally published by His Majesty's Stationery Office, London, 1802". British History Online. Iliwekwa mnamo 19 Julai 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charlotte Stanley, Countess of Derby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |