Nenda kwa yaliyomo

Charlie Baillie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charles Bishop Baillie (14 Februari 193517 Februari 2025) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Canada aliyewahi kuchezea timu za Calgary Stampeders na Montreal Alouettes.

Ndugu yake pacha, Ray Baillie (19352015), naye alicheza katika Ligi ya Soka ya Canada (CFL). Charlie Baillie alifariki mjini Montreal mnamo 17 Februari 2025 akiwa na umri wa miaka 90.[1][2]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charlie Baillie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Charles Baillie". justsportsstats.com.
  2. Francis Dupont: Montreal Alouettes mourn the passing of Charlie Baillie. Retrieved 18 February 2025.