Nenda kwa yaliyomo

Charles W. Alcock

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charles William Alcock (2 Desemba 1842 – 26 Februari 1907)[1] alikuwa mwanamichezo, msimamizi wa michezo, mwandishi na mhariri kutoka Uingereza. Alikuwa mmoja wa watu muhimu sana katika kuchochea na kuendeleza maendeleo ya soka ya kimataifa na kriketi, pamoja na kuwa muasisi wa FA Cup.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles W. Alcock kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.