Charles Ricketts
Mandhari
Charles de Sousy Ricketts (Oktoba 2, 1866 – Oktoba 7, 1931) alikuwa msanii, mchoraji picha, mwandishi, na mchapishaji wa Uingereza, aliyejulikana kwa kazi yake kama mbunifu wa vitabu na mpiga chapa, na kwa miundo yake ya mavazi na mandhari kwa ajili ya tamthilia na opera.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Charles de Sousy Ricketts" Archived 4 Januari 2016 at the Wayback Machine, National Portrait Gallery. Retrieved 1 November 2019
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charles Ricketts kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |