Nenda kwa yaliyomo

Charles Lepani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sir Charles Lepani KBE (28 Oktoba 194710 Januari 2025) alikuwa mtumishi wa umma na mwanadiplomasia kutoka Papua New Guinea. Alikuwa kamishna wa juu wa nchi hiyo nchini Australia kutoka 2005 hadi 2017, na kabla ya hapo alikuwa balozi wa Papua New Guinea katika Umoja wa Ulaya na nchi kadhaa za Ulaya. [1]

  1. "Sir Charles Heads APEC 2018 Prep". PNG Post-Courier. 9 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 5 Februari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Lepani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.