Nenda kwa yaliyomo

Charles James McDonnell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charles James McDonnell (7 Julai 192813 Februari 2020) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.

Alihudumu kama askofu wa jimbojina la Pocofeltus na askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Newark, New Jersey.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.