Nenda kwa yaliyomo

Charles James Blomfield

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charles James Blomfield (29 Mei 17865 Agosti 1857) alikuwa mwanateolojia na mtaalamu wa fasihi ya kale kutoka Uingereza, na alikuwa askofu wa Kanisa la Anglikana kwa miaka 32.[1]

  1. "The Armorial Bearings of the Bishops of Chester". Cheshire Heraldry Society. Iliwekwa mnamo 10 Februari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.