Charles Fabry

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charles fabry
Charles fabry

Maurice Paul Auguste Charles Fabry (11 Juni 1867 - 11 Desemba 1945) alikuwa mwanafizikia wa Ufaransa.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Fabry alihitimu Ecole Polytechnique huko Paris na alipata udaktari wake kutoka Chuo Kikuu cha Paris mwaka 1892, kwa kazi yake juu ya mwingiliano wa kingo, ambazo zilimfanya awe maarufu katika sekta Ya uoni na somo la rangi.

Mwaka 1904, alichaguliwa kuwa Profesa wa Fizikia katika Chuo Kikuu cha Marseille, ambako alitumia miaka 16.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Fabry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.