Nenda kwa yaliyomo

Charles Erskine (kardinali)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charles Erskine (13 Februari 173920 Machi 1811) alikuwa mwanadiplomasia wa Kipapa na kardinali mwenye urithi wa Italia na Uskoti.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.