Nenda kwa yaliyomo

Charles Elachi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charles Elachi (alizaliwa Aprili 18, 1947) ni profesa emeritus wa uhandisi wa umeme na sayansi ya sayari mwenye asili ya Lebanoni na uraia wa Marekani katika Taasisi ya Teknolojia ya California (Caltech). Kuanzia 2001 hadi 2016 alikuwa mkurugenzi wa 8 wa Jet Propulsion Laboratory na makamu wa rais wa Caltech.[1]

  1. ↑ Cedars Network US Directory: Dr. Charles Elachi, Director of JPL Archived Mei 29, 2008, at the Wayback Machine. Cedars Network. Retrieved on February 20, 2008.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Elachi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.