Nenda kwa yaliyomo

Charles Antoine de La Roche-Aymon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charles Antoine de La Roche-Aymon (Mainsat (Marche), 17 Februari 1697 - Paris, 27 Oktoba 1777) alikuwa kiongozi wa kidini wa Ufaransa, kardinali, na grand aumônier de France (mchungaji mkuu wa Ufaransa).[1]

  1. Honoré Fisquet, Gallia Christiana, archidiocèse de Paris, t. 2, Paris, 1864-1873, p. 308-309.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.