Channel 5 East Africa TV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Channel 5 au EATV ni kituo cha kurushia matangazo ya televisheni kutoka nchini Tanzania. Kituo kinamilikiwa na kampuni ya IPP Media ya nchini Tanzania. Kituo zamani kilikuwa kikiitwa ITV 2, lakini baadaye ilibadilishwa na kuitwa channel 5, hiyo ilikuwa mnamo mwaka wa 2004.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Channel 5 East Africa TV kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.