Shirikisho la Skauti wa Kike Uganda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shirikisho la Skauti wa Kike Uganda ni shirikisho la Skauti Wasichana nchini Uganda,shirikisho hili lilianzishwa mnamo mwaka 1914 hadi kufikia mwaka 2008 shirikisho hili linahudumia jumla ya wanachama wapatao 112,371 , shirikisho hili linahudumia wasichana pekee,mwaka 1963 lilitambuliwa rasmi na kuwa mwanachama wa Chama cha Skauti Duniani.[1] Blandina Karungi aliekuwa mlemavu na kiziwi, alikuwa mmoja wa wanachama wa shirikisho hili.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Duhaga Girls' Walls of Shame", 2008-10-19. Retrieved on 2008-10-23.