Neli gunda
Mandhari
(Elekezwa kutoka Chalcomitra senegalensis)
Neli gunda | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Dume
Jike
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Nususpishi 6:
| ||||||||||||||||||
Msambao wa neli gunda
|
Neli gunda (Nectarinia senegalensis) ni spishi ya ndege ya familia ya Nectariniidae.
Anapatikana nchini Afrika Kusini, Angola, Benini, Botswana, Burkinafaso, Burundi, Chadi, Eritrea, Eswatini, Gambia, Ghana, Gine, Ginebisau, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kameruni, Kenya, Kodivaa, Malawi, Mali, Moritania, Msumbiji, Namibia, Nijeri, Nijeria, Rwanda, Senegali, Siera Leoni, Sudani, Tanzania, Togo, Uganda, Uhabeshi, Zambia na Zimbabwe.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- BirdLife International 2004. 2006 IUCN Red List of Threatened Species. Downloaded on 26 Julai 2007.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Neli gunda kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |