Nenda kwa yaliyomo

Chadi Riad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chadi Riad Dnanou (amezaliwa tarehe 17 Juni, 2003) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu anayechukua nafasi ya beki wa kati katika klabu ya Crystal Palace F.C.. Amezaliwa Hispania, na anaiwakilisha Morocco national football team. [1][2]

  1. ↑ "Chadi Riad, otra joya que se escapa" [Chadi Riad, another pearl who slips away] (kwa Kihispania). Última Hora. 15 Februari 2019. Iliwekwa mnamo 11 Januari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "El Barça ficha a la joya marroquí del Mallorca" [Barça sign the Moroccan pearl of Mallorca] (kwa Kihispania). Sport. 10 Februari 2019. Iliwekwa mnamo 11 Januari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chadi Riad kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.