Ceolberht
Mandhari
Ceolberht (au Coelbeorht; alifariki kati ya 845 na 869) alikuwa Askofu wa London katika enzi za kati. Aliwekwa wakfu kuwa askofu kati ya mwaka 816 na 824 na alifariki kati ya 845 na 869.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |