Celâl Bayar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mahmut Celâl Bayar.jpg

Mahmut Celâl Bayar (16 Mei 1883 - 22 Agosti 1986) alikuwa mwanasiasa wa Uturuki, ambaye alikuwa Rais wa tatu wa Uturuki kutoka mwaka 1950 hadi 1960; hapo awali alikuwa Waziri Mkuu wa Uturuki kutoka mwaka 1937 hadi 1939.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Celâl Bayar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.