Nenda kwa yaliyomo

Cecilia Dapaah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cecilia Abena Dapaah (aliyezaliwa 27 Novemba, 1954) ni mwanasiasa wa Ghana. Yeye ni mwanachama wa Chama Kipya cha Uzalendo na wa zamani Mbunge wa jimbo la Bantama. Alihudumu kama naibu Waziri wa Rasilimali za Maji, Kazi na Nyumba, na Waziri wa Usafiri wa Anga na Usafi wa Mazingira na Rasilimali za Maji mtawalia.[1]

  1. "Plans underway to dredge Owabi, Barekese rivers". Graphic Online (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-05-22.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cecilia Dapaah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.