Nenda kwa yaliyomo

Cecilia Chongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cecilia Miranda Chongo
Nchi Mozambique
Kazi yake Mwanasiasa
Chama cha kisiasa FRELIMO

Cecilia Miranda Chongo alikuwa mwanasiasa wa Msumbiji. Mwaka 1977, alikuwa miongoni mwa kundi la mwanzo la wanawake walioteuliwa kuingia Bunge la Watu.

Chongo alikuwa mgombea wa FRELIMO katika uchaguzi[1] wa bunge wa mwaka 1977,ambapo alikuwa miongoni mwa kundi la mwanzo la wanawake 27 walioteuliwa kuingia Bunge la Watu. Alichaguliwa tena mwaka 1986 kutoka Jimbo la Gaza.[2]

  1. https://books.google.co.tz/books?id=plZEAQAAIAAJ&pg=RA9-PA42&redir_esc=y#v=onepage&q&f=false
  2. https://archive.gazettes.africa/archive/mz/1987/mz-government-gazette-series-i-supplement-no-4-dated-1987-09-22-no-37.pdf
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cecilia Chongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.