Cecil Aldin
Mandhari
Cecil Charles Windsor Aldin (Aprili 28, 1870 – Januari 6, 1935), alikuwa msanii na mchoraji picha wa Uingereza anayejulikana zaidi kwa uchoraji na michoro yake ya wanyama, michezo, na maisha ya vijijini.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bryant, Sonia. "Cecil Aldin". Stella & Rose's Books. Iliwekwa mnamo 18 Oktoba 2010.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cecil Aldin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |