Nenda kwa yaliyomo

Cecelia Bukari-Yakubu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cecelia Bukari-Yakubu
Nchi Ghana
Kazi yake Siasa
Cheo Mbunge
Chama cha kisiasa Convention People's Party

Cecilia Ayanori Bukari-Yakubu alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Ghana. Alikuwa Mbunge wa pili kuwakilisha mkoa wa Northern na mkoa wa Upper kuanzia mwaka 1960 hadi mwaka 1965, pia alikuwa mbunge wa Pusiga kuanzia mwaka 1965 hadi 1966.[1][2][3]

Bukari-Yakubu alikuwa miongoni mwa Wanawake wa kwanza kuingia katika Bunge la Ghana mwaka 1960 chini ya sheria ya Uwakilishi wa Watu (Wanachama Wanawake). Alikuwa miongoni mwa Wanawake 10 waliochaguliwa bila kupingwa tarehe 27 Juni 1960 kupitia Chama cha Convention People’s Party. [4]

  1. https://books.google.co.tz/books?id=7qISAAAAIAAJ&q=Ayanori&redir_esc=y
  2. https://books.google.co.tz/books?id=2Rf-Z7D2b8UC&q=Ayanori&redir_esc=y
  3. https://books.google.co.tz/books?id=qTEuAQAAIAAJ&q=Ayanori&redir_esc=y
  4. https://books.google.co.tz/books?id=fwpIAQAAIAAJ&q=Ayanori&redir_esc=y
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cecelia Bukari-Yakubu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.