Nenda kwa yaliyomo

Catherine Beauchemin-Pinard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Catherine Beauchemin-Pinard (alizaliwa tarehe 26 Juni mwaka 1994) ni mcheza judo wa Kanada anaeshindana na wanawake wenye daraja la uzito wa kilo 63.Beauchemin-Pinard alishinda medali ya shaba kati ya watu wenye uzito wa kilo 63 katika michezo ya olimpiki mwaka 2020   majira ya joto,hiyo ilimfanya kuwa mwanamke wa pili wa kikanada kushinda medali hiyo ya judo katika olimpiki ya majira hayo ya joto.Amewekwa katika nafasi kumi bora duniani kwenye daraja la uzito wake.