Nenda kwa yaliyomo

Catherine Afeku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mhe.
Catherine Afeku
MP
Catherine Afeku
Amezaliwatarehe 27 Juni 1967
UtaifaGhana
Kazi yakeMwanasiasa
Chama cha siasaNew Patriotic Party
MwenzaSeth Afeku
Watoto3

Catherine Ablema Afeku (alizaliwa 27 Juni, 1967) ni mwanasiasa kutoka nchini Ghana. Pia yeye ni mwanachama wa Chama cha siasa cha New Patriotic Party na mbunge wa Jimbo la Evalue Gwira katika Mkoa wa Magharibi.

Alihudumu pia kama waziri katika serikali ya Nana Akufo-Addo, ambapo alikuwa Waziri wa Utalii, Utamaduni na Sanaa za Ubunifu wa Ghana kuanzia Februari 2017 hadi Februari 2019[1][2][3].

Mwezi Februari 28, 2019, alihamishwa kutoka Wizara ya Utalii kwenda Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Ghana. Hivi sasa, yeye ni Waziri wa Serikali katika Ofisi ya Rais, akiwa amepangwa kazi katika Ofisi ya Waziri Mkuu[4].

  1. "Meet Akufo-Addo's 36 ministerial nominees". www.ghanaweb.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-01-14. Iliwekwa mnamo 2026-01-31.
  2. "12 More Ministers Picked". Modern Ghana (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-01-31.
  3. Akwasi Agyei Annim (2020-07-19). "Photojournalists in Western Region boycott Catherine Afeku's programmes" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-01-31.
  4. "Catherine Afeku speaks about her new post at Osafo Marfo's office", GhanaWeb (kwa American English), 2019-03-04, iliwekwa mnamo 2026-01-31
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Catherine Afeku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.