Castellum Tingitii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Coa Orléansville (French Algeria)

Castellum Tingitii pia unaitwa Castellum Tingitanum ulikuwa koloni la Kirumi huko Mauretania Caesariensis ambapo kwa sasa unajulikana kama (Chlef in Algeria).

Historia[hariri | hariri chanzo]

Castellum Tingitanum ilikuwa kilomita 100 kusini magharibi mwa Caesarea Mauretaniae. Ilikuwa ni ngome iliyojengwa na Waroma katika mwaka 60 kabla ya Kristo, na baadaye chini ya Augustus ukawa kijiji, ulukaliwa na wanajeshi wa Kiroma na familia zao.Kolonia lilikuwa karibu na mto Chlef mita 150 juu ya usawa wa bahari , ulilinda mji wa pwani wa Cartennas


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Castellum Tingitii kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.