Nenda kwa yaliyomo

Castellum Ripae

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Castellum Ripae au Hadjar-Ouaghef ni sehemu ya kihistoria iliyopo Algeria, kaskazini mwa Afrika[1][2]. Castellum Ripae ipo kaskazini- mashariki mwa Hanaïa na kilometa 6 kutoka makutano ya mto Sık'k'ak na Isurs .[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. xxx.
  2. Michael Greenhalgh, The Military and Colonial Destruction of the Roman Landscape of North Africa, 1830–1900, pp 75 2014.
  3. Revue Africaine Volume 1 Année 1856 (Journal Des Travaux De La Société Historique Algérienne Par Les Membres De La Société) p1090.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Castellum Ripae kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.