Cass Elliot
Mandhari
Ellen Naomi Cohen (amezaliwa 19 Septemba, 1941 – amefariki 29 Julai, 1974), anayejulikana kitaaluma kama Cass Elliot, alikuwa mwimbaji wa Marekani. Pia alijulikana kama Mama Cass, ingawa inaripotiwa kuwa hakupenda jina hilo.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Rolling Stone Interview: Cass Elliot". Rolling Stone. 1968-10-26. Iliwekwa mnamo 2023-10-06.
- ↑ "Inductee Explorer - Rock & Roll Hall of Fame". Rockhall.com. Iliwekwa mnamo Desemba 19, 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Rasmussen, Fred (Aprili 2, 1994). "Bess Cohen, was mother of Mama Cass". The Baltimore Sun. Iliwekwa mnamo Machi 27, 2018.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cass Elliot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |