Nenda kwa yaliyomo

Casey Desmond

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Casey Patricia Desmond (alizaliwa 25 Juni 1986) ni mwimbaji wa *pop*, mtunzi wa nyimbo na mwanamuziki kutoka Marekani.

    Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Casey Desmond kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.