Nenda kwa yaliyomo

Carter Faith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carter Faith Jones (aliyezaliwa 14 Juni, 2000), anayejulikana kitaaluma kama Carter Faith ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa muziki wa country kutoka Marekani. Ameshatoa EP mbili, *Let Love Be Love* na *Man*.[1][2][3]

  1. "Carter Faith Biography". AllMusic.
  2. Hollabaugh, Lorie (Agosti 20, 2021). "Carter Faith's Debut EP, 'Let Love Be Love,' Available Now". MusicRow.
  3. "Student musician channels quarantine loneliness into EP". The Panther Newspaper. Novemba 9, 2022.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carter Faith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.