Cartagena, Hispania
Mandhari
Cartagena ni mji wa Hispania, katika jimbo la Murcia.
Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 214,802 [1] na kuufanya wa ishirini na nne nchini kwa wingi wa watu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Cartagena, Hispania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |