Nenda kwa yaliyomo

Carrie Lam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carrie Lam Cheng Yuet-ngor ; alizaliwa tarehe 13 Mei 1957) ni mwanasiasa mstaafu wa Hong Kong ambaye alikuwa Mtendaji Mkuu wa nne wa Hong Kong kuanzia mwaka 2017 hadi 2022.[1]

Kabla ya hapo, alihudumu kama Chief Secretary for Administration kwa kipindi cha miaka mitano.[2]

  1. ["Hong Kong chooses first woman head". The) Hindu. Reuters. 27 Machi 2017 [2017-03-26]. [Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2017. {{cite news}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)](https://web.archive.org/web/20190107043722/https://www.thehindu.com/news/international/hong-kong-chooses-carrie-lam-amid-political-tension/article17666890.ece?homepage=true|url-status=live}})
  2. ["Carrie) Lam". Encyclopaedia Britannica. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2026. {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carrie Lam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.