Nenda kwa yaliyomo

Carrauntoohil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Carrauntoohil, upande wa Kaskazini-Mashariki

Carrauntoohil ni mlima uliopo katika kisiwa cha Ireland, upande wa Jamhuri ya Eire. Ukiwa na kimo cha mita 1,038, ndio mrefu kuliko yote ya kisiwa hicho.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Carrauntoohil kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.