Nenda kwa yaliyomo

Carolyn Hamilton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carolyn Hamilton ni mwanasheria wa kianthropolojia na mwanahistoria wa Afrika Kusini ambaye ni mtaalamu wa historia na matumizi ya nyaraka . Hamilton ni mshikilia kiti katika Idara ya Nyaraka na Utamaduni wa Umma ya Taasisi ya Taifa ya Utafiti ya Afrika Kusini katika Chuo Kikuu cha Cape Town.[1]

  1. Terrific Majesty. University of Harvard Press. Retrieved 5 March 2016.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carolyn Hamilton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.