Nenda kwa yaliyomo

Carolyn Finney (mwandishi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carolyn Finney (alizaliwa 1959)[1] ni msimuliaji wa hadithi, mwandishi, msanii, mwalimu, na msomi kutoka Marekani. Kwa sasa ni msomi mkaazi (scholar-in-residence) katika Kituo cha Mazingira cha Franklin kilichopo Middlebury College.

Kazi ya Finney inachunguza jinsi asili na mazingira nchini Marekani yanavyohusishwa na masuala ya rangi na ubaguzi wa kijamii, akionesha namna uzoefu wa watu weusi katika mazingira unavyoundwa na historia na siasa za nchi.[2]

  1. ↑ Finney, Carolyn (2019-10-01). ["This Moment". The) Brooklyn Rail (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-04-28. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
  2. ↑ [(https://news.cornell.edu/stories/2021/02/author-speak-african-americans-relationship-outdoors) "Author to speak on African Americans' relationship with the outdoors"]. Cornell Chronicle (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2022. {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carolyn Finney (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.