Caroline Watts
Mandhari
Caroline Marsh Watts (1868 – 1919) alikuwa mchoraji nchini Uingereza. Alizaliwa Handsworth, sasa sehemu ya Birmingham, na alifariki Colehill huko Dorset.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Crawford, Elizabeth (3 Desemba 2014). "Suffrage Stories/Women Artists: Caroline Watts And the 'Bugler Girl'". Iliwekwa mnamo 2019-01-06.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Caroline Watts kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |