Nenda kwa yaliyomo

Caroline Herring

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Caroline Herring (alizaliwa Canton, Mississippi 1969) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwanamuziki wa Marekani anayeimba muziki wa folk na country.[1] [2] [3] [4]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Caroline Herring kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.