Caroline Dhavernas
Mandhari
Caroline Dhavernas (amezaliwa mwaka 1978) ni mwigizaji wa Kanada. Nchini Marekani, anajulikana zaidi kwa kazi zake pamoja na Bryan Fuller. Alicheza nafasi ya Jaye Tyler katika mfululizo wa comedy-drama wa Fox Broadcasting Company|Fox Wonderfalls, na Alana Bloom katika mfululizo wa drama ya kutisha ya kisaikolojia wa National Broadcasting Company|NBC Hannibal (TV series)|Hannibal.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]
Alianza kazi yake akiwa na umri wa miaka 8, akifanya udubishaji wa sauti katika vipindi vya televisheni kama vile Babar (TV series)|Babar.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kigezo:Deprecated archive, review from The Gazette, October 12, 2012
- ↑ Mars and April // Mars & Avril Archived 2015-06-10 at the Wayback Machine, review from Variety, July 16, 2012
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Caroline Dhavernas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |