Caroline Danjuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Caroline Danjuma (anajulikana pia kwa jina la Caroline Ekanem; alizaliwa mwaka 1987) ni mchezafilamu wa Nigeria aliyeanza kuonekana na kung'ara katika filamu kama nyota mwaka 2004 akiwa Nollywood, alikuja kujitokeza zaidi mwaka 2016 akiwa kama muandaaji na nyota wa filamu.

Maisha ya awali na taaluma[hariri | hariri chanzo]

Caroline amezaliwa katika familia ya baba Mskoti na mama Mnigeria.[1][2] ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto watatu .[3] alisomea fani ya mipango miji,jeografia na usimamizi wa mazingira katika chuo kikuu cha University of Calabar.[4]

Taaluma ya uigizaji[hariri | hariri chanzo]

Chico Ejiro, kupitia Rita Dominic, alimtambulisha Danjuma katika tasnia ya filamu nchini Nigeria mwaka 2004 katika filamu ya Deadly Care. aliendelea kung'ara zaidi katika filamu nyingine zikiwemo Deadly Kiss (2004), Missing Angel (2004), The Captor (2006), Foreign Affairs, Real Love, The Twist, A Second Time na The Beast and the Angel,filamu zake za karibuni ni Stalker (2016), Jim Iyk na Nse Ikpe Etim. mwaka August 2017, alipatiwa tuzo ya heshima kwa programu zake za utetezi kwa ajili ya vijana chini ya Pan-African organization.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Caroline Danjuma is 34 years old. Iliwekwa mnamo 23 June 2016.
  2. Nollywood actress Danjuma turns 33. Iliwekwa mnamo 23 June 2016.
  3. I have never compromise my body for money.......Caroline Ekanem Danjuma. Iliwekwa mnamo 23 June 2016.
  4. Why I married Danjuma. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-04-30. Iliwekwa mnamo 23 June 2016.
  5. Caroline Danjuma Wins 2017 Mandela Award. Rivers State Newspaper Corp. (11 August 2017).
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Caroline Danjuma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.