Nenda kwa yaliyomo

Carole Facal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carole Facal ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Kanada anayeishi Quebec, ambaye anandika na anaimba kwa Kiingereza na Kifaransa kwa jina la jukwaani Caracol.[1][2]

  1. Interview with Jim Corcoran, Apropos, CBC Radio 1, November 15 and 21, 2009
  2. DobaCaracol profile, peermusic
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carole Facal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.