Nenda kwa yaliyomo

Carol Mann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Carol Mann ( 3 Februari 1941 – 20 Mei 2018) alikuwa mchezaji wa gofu wa kulipwa nchini Marekani. Alizaliwa Buffalo, New York. Alishinda mataji 38 ya LPGA Tour, ikiwa ni pamoja na mataji 2 makubwa: U.S. Women's Open mwaka 1965 na Western Open mwaka 1964. Alitajwa kama LPGA Player of the Year mwaka 1969. Alikuwa Rais wa LPGA kuanzia 1973 hadi 1976.[1]

  1. ↑ "Mann selected as recipient of 2008 PGA First Lady of Golf Award". PGA of America. Iliwekwa mnamo Septemba 9, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)[dead link]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carol Mann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.