Carol Blanchette
Mandhari
Carol Anne Blanchette ni mtafiti wa biolojia kutoka chuo kikuu California, Santa Barbara ambaye anajulikana kwa kazi yake kwenye maeneo ya baharini na kusomea mbinu za kibiolojia za viumbe wa baharini.
Elimu na kazi
[hariri | hariri chanzo]Blanchette amekua katika maisha yake yote akiwa na ndoto ya kuwa mwanabiolojia, ikiwa matokeo ya kuwa karibu na babu yake ambaye alijikita na masuala ya samaki na uvuvi.[1] Alipata shahada ya uzamivu katika chuo Notre Dame (1988) na kupata Shahada ya uzamivu nyingine mnamo mwaka 1994 kutoka Chuo Kikuu cha Oregon State.[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ">> AUTOBIOGRAPHICAL SKETCHES | Oceanography". tos.org. Iliwekwa mnamo 2023-05-22.
- ↑ "Dr. Carol Blanchette named new director of Valentine Reserve - Sierra Wave: Eastern Sierra NewsSierra Wave: Eastern Sierra News" (kwa American English). 2016-01-12. Iliwekwa mnamo 2022-12-31.
- ↑ Bodine, Mike (Januari 22, 2016). "Dawson retires, Blanchette takes over". thesheetnews.com. Iliwekwa mnamo 2022-12-31.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carol Blanchette kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |