Carmen Solomons
Mandhari
Carmen Lee Solomons ni mwanamitindo kutoka nchini Afrika Kusini, anayejulikana zaidi kama mmoja wa nyuso za chapa za kimataifa za vipodozi ya Fenty Beauty and Kylie Cosmetics.[1]
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Solomons alizaliwa katika mji wa Kraaifontein, uliopo karibu na Cape Town. Kabla ya kuanza kazi ya uanamitindo, alifanya kazi kama katibu katika ofisi ya kitabibu.[2][3]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Solomons amefanya kazi ya uanamitindo kwa ajili ya mavazi ya Yeezy ya Kanye West, na pia kwa mavazi ya Kendall + Kylie. Aidha, ameonekana katika video za muziki za wasanii Usher na Cardi B. Vilevile, ameshiriki katika kampeni ya matangazo ya Aerie.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Local model makes it big in beauty!". Glamour South Africa.
- ↑ "Cape Town woman stars in Rihanna's beauty campaign". Cape Town ETC.
- ↑ "SA Model Carmen Lee Solomons is Changing the Face of Beauty". Cosmopolitan South Africa. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Februari 2019.
I'm 100% African.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carmen Solomons kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |