Carmen Planas
Mandhari
Carmen Lim Planas (23 Machi 1914 – 25 Agosti 1964) alikuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa katika nafasi yoyote ya umma nchini Ufilipino wakati alipochaguliwa kama mjumbe wa bodi ya manispaa ya Manila kupitia kura za wote (general suffrage) mnamo mwaka 1934. Baadaye alihudumu kama mwanamke wa kwanza kuwa Naibu Meya wa Jiji kuu la Manila (Vice Mayor of Manila)[1] kuanzia mwaka 1940 hadi 1941 na tena kuanzia mwaka 1944 hadi 1949.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Founding of Manila | JSTOR.org (kwa Kiingereza)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carmen Planas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |